mzee majuto akimwagia mchanga kwenye kaburi la marehemu husseni
umati wa watu ukiwa umefurika kwa ajili ya mazishi ya sharo millionea
nyumba ya milele ya sharo millionea
hili ndilo kaburi alilozikwa msanii sharo millionea
hatunaye tena...ndio neno lililotumika sana hapa!
mama yake mzazi sharo millionea akilia kwa uchungu..
meneja wa msanii sharo millionea akieleza wasifu wa sharo millionea
No comments:
Post a Comment